Games pendwa ndani ya PMbet Tanzania (Kampuni namba moja ya Ubashiri TZ) ni:
- KENO
- CBOOM [ Color Boom ]
- WOF [ Wheel of Fortune ]
CBOOM: Jinsi ya kucheza
Color Boom ni mchezo wa rangi zenye namba na kanuni ya mchezo ni kubahatisha namba zote sita (6) kabla ya droo kuanza na idadi inayopatikana ya namba ni 1 hadi 48.
👉NB: Kiwango cha chini cha dau ni TSH 50 na cha juu ni TSH 50,000 na Droo hufanyika katika kila dakika 2 ambapo namba 35 kati ya 48 hutoka kwa mlolongo.
Masharti ya droo:
Kati ya namba 48, 35 hutoka kwa nasibu au mchanganyiko na zimepangwa kwa mpangilio wa kutoka, zikichukua nafasi 1 hadi 35 kwenye jedwali, ambazo zina mgawo wao wa kushinda.Ushindi:
Ikiwa namba zote 6 zilizochaguliwa zitatoka wakati wa droo, tiketi itashinda lakini kiasi cha ushindi kinaamuliwa na namba ya mwisho kutoka itaangukia katika poiti ipi, pia kuna JACKPOT ya 500,000 up to 2,000,000 na ili ushinde ni lazima ucheze sana ili tiketi yako iingie kwenye droo💨Kama hauna akaunti ya PMbet Tanzania bofya link hii kujiunga: pmbet.co.tz 🔞
💨Na sehemu ya promo code jaza: A12
KENO: Jinsi ya kucheza
Keno ni mchezo wa namba na jinsi ya kucheza chagua idadi ya namba unazotaka 1 hadi 10 na kila idadi inatoa kiasi cha pesa tofauti.
👉 NB: Kiwango cha chini cha dau ni TSH 50 na cha juu ni TSH 10,000 na Droo hufanyika katika kila dakika 2 ambapo namba 10 kati ya 80 hutoka kwenye droo, pia kuna JACKPOT ya 500,000 up to 2,000,000 na ili ushinde ni lazima ucheze sana ili tiketi yako iingie kwenye droo
Jedwali la mgawo
Choices..(soon)
💨Kama hauna akaunti ya PMbet Tanzania bofya link hii kujiunga: pmbet.co.tz 🔞
💨Na sehemu ya promo code jaza: A12
WOF: Jinsi ya kucheza na kushinda
WOF ni moja ya michezo maarufu ya bahati nasibu na jinsi ya kucheza na kushinda:
Mfano:
- Set 1, 2, au 3 umebeti kwa dau la tsh 500 utashinda Tsh 1,500
- Kuna First half ambayo namba zake ni 1 hadi 18 na kuna Second half ambayo namba zake ni 19 hadi 36: ukibeti kwa dau la 500 utashinda tsh 1,000
- Odds au Even ukiweka dau la 500 unapata tsh 1,000
- Colum A,B,na C ukiweka dau la 500 unapata tsh 1,500
- Rangi Red au Black ukiweka dau la 500 unapata tsh 1,000
- 0 au namba yoyote moja ukibeti kwa dau la 500 unashinda tsh 18,000
- Pia kuna JACKPOT ya 500,000 up to 2,000,000 na ili ushinde ni lazima ucheze sana ili tiketi yako iingie kwenye droo
0 Comments